Nenda kwa yaliyomo

Nick Twinamatsiko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nick Twinamatsiko ni mwandishi na mhandisi wa ujenzi kutoka Uganda. Yeye ni mwandishi wa riwaya Chwezi Code, Jesse's Jewel: A Parable of the Lost Love, na Mug: the Chwezi Guru, pamoja na diwani ya mashairi iitwayo Till the Promised Land & Other Poems.[1]

  1. Dennis D. Muhumuz (16 Agosti 2010). "The civil engineer who builds words and sentences". Iliwekwa mnamo 18 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nick Twinamatsiko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.