Nenda kwa yaliyomo

Nicholas Cheong Jin-suk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nicholas Cheong Jin-suk (7 Desemba 193127 Aprili 2021) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Korea Kusini.

Alikuwa Askofu Mkuu wa Seoul kuanzia 1998 hadi alipojiondoa kwa kustaafu mwaka 2012. Kabla ya hapo, alikuwa Askofu wa Cheongju kutoka 1970 hadi 1998. Aliteuliwa kuwa Kardinali mwaka 2006.[1]

  1. "Former Catholic prelate of Seoul, Cardinal Nicholas Cheong Jin-suk, dies at 89". Licas News. 28 Aprili 2021. Iliwekwa mnamo 28 Aprili 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.