Nicholas Bubwith
Mandhari
Nicholas Bubwith (1355 – 1424) alikuwa Askofu wa London, Askofu wa Salisbury, na Askofu wa Bath na Wells, pamoja na kushika nyadhifa za Lord Privy Seal na Lord High Treasurer wa Uingereza.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |