Nicephore Nièpce

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nicephore Nièpce alikuwa Mfaransa aliyezaliwa tarehe 7 Machi mwaka 1765.

Hakuwa na uwezo wa kuchora lakini alifikiria jinsi ya kuchukua picha katika uhalisia wake.

Mwaka 1826-1827 kwenye maabara alitengeneza picha kwa kutumia kemikali zenye uwezo mkubwa wa kuhisi mwanga, hii ilikuwa ndiyo picha ya kwanza isiyo mchoro. Lakini jambo hili alilifanya liwe siri mpaka alipopata msaidizi anayeitwa Jacques-Mandè.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicephore Nièpce kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.