Niccolò de Romanis
Mandhari
Niccolò de Romanis[1] (alifariki 1218) alikuwa kardinali wa Italia na Mwakilishi wa Papa.
Alikuwa Askofu wa Frascati kuanzia mwaka 1204 au 1205. Alikuwa na uhusiano wa karibu na Papa Honorius III kama msimamizi na mjumbe wa kidiplomasia. Alikuwa Dekani wa Rika la Makardinali kuanzia mwaka 1211.[2][3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ also Nicola de Romanis or Nicholas de Romanis; Nicholas of Tusculum. According to W. Maleczek, Papst und Kardinalskolleg von 1191 bis 1216, Vienna 1984, p. 147, the familiar denomination de Romanis is not attested in the contemporary sources, but appears for the first time in the 17th century.
- ↑ "The Cardinals of the Holy Roman Church". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-01. Iliwekwa mnamo 2025-02-20.
- ↑ "History Timelines". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-20.
- ↑ John Clare Moore, Pope Innocent 3rd 1160/61-1216: To Root Up and to Plant (2005), p. 215.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |