Niccolò Ridolfi
Mandhari
Niccolò Ridolfi (1501 – 31 Januari 1550) alikuwa askofu mkuu na kardinali wa Italia.
Alizaliwa Firenze, mwana wa Piero Ridolfi na Contessina de' Medici (binti Lorenzo de' Medici). Baba yake alikuwa Gonfaloniere wa Haki. Familia yake ilikuwa tajiri na maarufu. Papa Leo X alikuwa mjomba wa Niccolò na alimpa haraka kazi ya Kikanisa.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ridolfi, Niccolò", Treccani
- ↑ Caesar, Mathieu. Factional Struggles: Divided Elites in European Cities & Courts (1400-1750), BRILL, 2017, p. 131 ISBN 9789004345348
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |