Niccolò Fortiguerra
Mandhari
Niccolò Fortiguerra (pia huandikwa Forteguerri; 1419 — 1473) alikuwa mjumbe wa Kipapa, kamanda wa kijeshi, na Kardinali wa Italia.
Alizaliwa Pistoia na alikuwa ndugu wa Papa Pius II, hivyo anahesabiwa kuwa "kardinali-mpwa" (cardinal-nephew). Alipata shahada ya udaktari katika sheria za Kanisa na za kiraia (utroque iure) kutoka Chuo Kikuu cha Siena. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Wood, Shakespere (1875). New Curiosum Urbis: A Guide to Ancient & Modern Rome (kwa Kiingereza). Cook. uk. 323.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |