Nenda kwa yaliyomo

Niccolò Caetani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Niccolò Caetani di Sermoneta (15261585) alikuwa kardinali na askofu wa Kanisa Katoliki.

Alizaliwa mjini Roma tarehe 23 Februari 1526, akiwa mtoto wa Camillo Caetani, duke wa tatu wa Sermoneta, ambaye alikuwa binamu wa Papa Paulo III, na mke wake wa pili, Flaminia Savelli. Familia yake ilikuwa ya wapatanishi kutoka Naples. [1][2]

Niccolò pia alikuwa ndugu wa baba wa Kardinali Enrico Caetani.

  1. Miranda, Salvador. "CAETANI, Niccolò (1526-1585)". The Cardinals of the Holy Roman Church. Florida International University. Iliwekwa mnamo 29 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Cheney, David M. "Niccolò Cardinal Caetani di Sermoneta". Catholic-Hierarchy.org. OCLC 53276621. Iliwekwa mnamo Juni 16, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) [self-published]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.