Niccolò Albergati
Mandhari
Niccolò Albergati (1373 – 9 Mei 1443) alikuwa mmonaki wa Wakartusi na askofu wa Kanisa Katoliki.
Alipewa hadhi ya kardinali na alihudumu kama balozi wa Papa nchini Ufaransa na Uingereza (1422–1423), pamoja na kuwa Askofu wa Bologna kutoka 1417 hadi kifo chake. [1]
Tarehe 25 Septemba 1744 alitangazwa na Papa Benedikto XIV kuwa mwenye heri[2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Mei[3].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Blessed Nicholas Albergati". Saints SQPN. 10 Mei 2017. Iliwekwa mnamo 8 Aprili 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Beato Niccolò Albergati". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 8 Aprili 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |