Niğde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 23:52, 9 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 32 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q194146 (translate me))


Niğde
Nchi Uturuki
Mkoa Anatolia ya Kati
Jimbo Niğde
Idadi ya wakazi (2005)
 - Wakazi kwa ujumla 99,308
Tovuti:  www.nigde.gov.tr

Niğde ni jina la kuita mji mkuu wa Jimbo la Niğde huko nchini Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi takriban 99,308 . Mji upo m 1,300 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Marejeo

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Niğde kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.