Mto Nguya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Nguya (mto))

Mto Nguya unapatikana Tanzania magharibi.

Ni tawimto wa mto Malagarasi, mto wa pili nchini kwa urefu ambao unaishia katika ziwa Tanganyika.