Nenda kwa yaliyomo

Nguyễn Văn Thuận

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Phanxicô Xaviê Nguyễn Văn Thuận (Francis-Xavier Nguyễn Văn Thuận; 17 Aprili 1928 - 16 Septemba 2002) alikuwa kardinali kutoka Vietnam katika Kanisa Katoliki.

Alikuwa mpwa wa rais wa kwanza wa Vietnam Kusini, Ngô Đình Diệm, na Askofu Mkuu Ngô Đình Thục.

Papa Fransisko alimtangaza kuwa "Venerable" tarehe 4 Mei 2017, hatua muhimu katika mchakato wa kumtangaza kuwa mtakatifu.[1][2][3]

  1. André Nguyen Van Chau The Miracle of Hope
  2. André Nguyen Van Chau The Road of Hope: A Gospel from Prison(French edition: Une vie d'espérance) 2007
  3. Michael D. O'Brien, Road of Hope: The Spiritual Journey of Cardinal Nguyen Van Thuan Ignatius Press 2010
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.