Ngozi ya mamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mamba ya Afrika (Crocodylus niloticus).

Ngozi ya mamba ni sehemu ya juu ya nyama ya mamba inayosaidia kumkinga na vitu vya hatari ndogondogo, kwa mfano miba midogomidogo.

Ngozi hiyo ni ya thamani kwa sababu inatumika kutengenezea begi, pochi, mikanda, viatu, ngoma n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ngozi ya mamba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.