Ngiri
Ngiri | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Dume la ngiri wa kawaida
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 2:
|
Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru
Ngiri, gwasi au mbango (ing. warthog) ni wanyama wa jenasi Phacochoerus katika familia Suidae. Hawa ni aina za nguruwe-mwitu wenye sugu kubwa kichwani, madume hasa (sababu ya jina kwa Kiingereza: warthog). Wana pamba ndefu, zile za dume ndefu kuliko zile za jike. Hula manyasi, mizizi, beri na matunda mengine, gamba la miti, nyoga na hata mayai, mizoga na pengine wadudu na wanyama wadogo. Wakila hupiga magoti ya mbele na wakitoroka kitisho huweka mkia juu wima.
Spishi
- Phacochoerus aethiopicus, Ngiri-jangwa (Desert Warthog)
- Phacochoerus a. aethiopicus, Ngiri wa Afrika Kusini (Cape Warthog) imekwisha sasa (1865)
- Phacochoerus a. delamerei, Ngiri Somali (Somali Warthog)
- Phacochoerus africanus, Ngiri wa Kawaida (Common Warthog)
- Phacochoerus a. aeliani, Ngiri wa Eritrea (Eritrean Warthog)
- Phacochoerus a. africanus, Ngiri wa Nolan (Nolan Warthog)
- Phacochoerus a. massaicus, Ngiri Mashariki (Central African Warthog)
- Phacochoerus a. sundevallii, Ngiri Kusi (Southern Warthog)
Picha
-
Jike la ngiri mashariki na wanake
-
Ngiri katika Kasoko ya Ngorongoro
-
Ngiri wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire, Tanzania
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ngiri kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.