Nenda kwa yaliyomo

Nezha Aït Baba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nezha Aït Baba Hlim (kwa Kiarabu: نزهة أيت بابا حليم) ni mchezaji wa soka wa Morocco anayekipiga kama kiungo wa kati kwa klabu ya Ligi ya Wanawake ya Morocco, Club Municipalité de Laâyoune, na timu ya taifa ya wanawake ya Morocco. Baba amewahi kuichezea Municipal Laâyoune katika ligi ya Morocco, na pia amewakilisha timu ya taifa ya Morocco katika ngazi ya wakubwa.[1][2]

  1. "لائحة المنتخب الوطني النسوي التي ستخوض تجمعا إعداديا بالمعمورة" (kwa Kiarabu). 20 Oktoba 2020. Iliwekwa mnamo 18 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Duret, Sébastien (3 Desemba 2020). "Amicaux - Double succès du BRESIL et du GHANA, les USA battent les PAYS-BAS, la ZAMBIE victorieuse au CHILI". Footofeminin.fr (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 18 Juni 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nezha Aït Baba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.