New Plymouth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
New Plymouth / Ngāmotu

Mji wa New Plymouth (New Zealand)
Habari za kimsingi
Mkoa Taranaki
Anwani ya kijiografia Latitudo: 39°04′0″ - Longitudo: 174°05′0″E
Eneo 2,324.26 km²
Wakazi 52,200 (mji pekee)
68,901 (pamoja na rundiko)
Msongamano wa watu watu 76.8 (mji pekee) kwa km²
Simu +64 (nchi), 06 (mji)
Mahali

New Plymouth (Kimaori: Ngāmotu) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 68,901 (2010). Iko upande wa kaskazini wa kisiwa. Eneo lake ni 2,324.26 km².

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.