Never Gone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Never Gone
Never Gone Cover
Kasha ya albamu ya Never Gone.
Studio album ya Backstreet Boys
Imetolewa 14 Juni 2005
Imerekodiwa 26 Januari 2004-Januari 2005
Westlake Audio, Hollywood, CA; Dr. Luke's New York, NY; Woodland Ranch, Woodland Hills, CA
Aina Rock, pop rock, adult contemporary
Lugha Kiingereza
Lebo Jive
Mtayarishaji Max Martin, John Shanks, John Ondrasik, Dan Muckala, Gregg Wattenberg, Mark Taylor, billymann, Lukasz "Dr. Luke" Gottwald, Johan "Brorsan" Brorsson, Paul L. Wiltshire, Jay Orpin Victoria Wu, John Fields
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Backstreet Boys
The Hits: Chapter One
(2001)
Never Gone
(2005)
Unbreakable
(2007)
Single za kutoka katika albamu ya Never Gone
  1. "Incomplete"
    Imetolewa: 1 Aprili 2005
  2. "Just Want You To Know"
    Imetolewa: 4 Oktoba 2005
  3. "Crawling Back to You"
    Imetolewa: 11 Oktoba 2005
  4. "I Still..."
    Imetolewa: 31 Januari 2006


Never Gone ni albamu iliyongojewa kwa hamu iliyotolewa na Backstreet Boys. Ilikuwa itolewe mwaka wa 2004, lakini ikapelekwa mbele na kutolewa mnamo 14 Juni 2005 kwa ajili ya sababu zisizojulikana.

Single ya kwanza kwenye albamu hii ilikuwa ni "Incomplete", na ikafuatiwa na "Just Want You To Know". Single ya tatu kutolewa kote duniani ilikuwa ni "I Still..." Nyimbo zingine ni "Weird World", "Beautiful Woman" na "Climbing The Walls". Never Gone ilithibitishwa platinum nchini Marekani, na kuuza nakala 293,000 kwenye wiki ya kwanza, na kufikia namba 3 kwenye Billboard 200. Nchini Japan, iliuza nakala 528,ooo, na ilikuwa albamu maarufu mwaka wa 2005..[1]

Hii ilikuwa albamu ya mwisho ambayo Kevin Richardson alijihusisha nayo, kwani baada albamu hii kutolewa alitoka kwenye kundi la Backstreet Boys.

The Never Gone Tour ilianza tu baada ya albamu hii kutolewa.

Nyimbo zake[hariri | hariri chanzo]

  1. "Incomplete" (Dan Muckala, Jess Cates, Lindy Robbins) — 3:59
  2. "Just Want You to Know" (Max Martin, Lukasz Gottwald) — 3:51
  3. "Crawling Back to You" (Chris Farren, Blair Daly) — 3:44
  4. "Weird World" (John Ondrasik) — 4:12
  5. "I Still..." (Max Martin, Rami) — 3:49
  6. "Poster Girl" (Billy Mann, Rasmus Bahncke, René Tromborg) — 3:56
  7. "Lose It All" (Wally Gagel, Shelly Peiken, Alexander Barry) — 4:04
  8. "Climbing The Walls" (Max Martin, Lukasz Gottwald) — 3:43
  9. "My Beautiful Woman" (Paul Wiltshire, Victoria Wu) — 3:38
  10. "Safest Place to Hide" (Tom Leonard, Robin Lerner) — 4:40
  11. "Siberia" (Max Martin, Rami, Alexandra) — 4:17
  12. "Never Gone" (Kevin Richardson, Gary Baker, Steve Diamond) — 3:46
  13. "Song For The Unloved" (Billy Mann, Chris Rojas) — 3:40
  14. "Rush Over Me" (Thomas, Dorough, Mclean, Carter, Richardson, Litrell) — 3:28
  15. "Movin’ On" (Howie Dorough, Wade Robson, Nate Butler) — 3:32 (Japanese Bonus Track)
  16. "Last Night You Saved My Life" (CD+DVD Package Bonus Track)

Nyimbo zingine ambazo hazikutolewa kirasmi[hariri | hariri chanzo]

  • Set It Off - 3:20
  • Can We Get Back To Love Again - 4:19
  • All In This Together - 3:47
  • Love Is - 3:29
  • Divine Intervention - 3:46
  • Over Her - 4:21
  • Tell Me - 4:15
  • Loving You - 3:51
  • Forces Of Nature - 3:29
  • Welcome To My Heart - 4:44
  • Don't Disturb This Groove - 5:03
  • Not No More - 4:10
  • Memories - 3:42
  • Color My World - 4:07
  • Rumours - 3:30
  • Best of My Love - 3:32
  • For The Love Of Money - 4:02
  • Love Knows I Love You - 4:18
  • Lift Me Up - 4:02
  • Let's Do It For Love - 3:48

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (2005) Namba
U.S. Billboard 200 3
UK Album Chart 11
Australia ARIA Album Chart 6
Canadian Album Chart 1
New Zealand RIANZ Album Chart 21
Swiss Album Chart 3
Austrian Album Chart 4
French Album Chart 19
Dutch Album Chart 3
Belgium Flanders Album Chart 13
Belgium Walonia Album Chart 19
Swedish Album Chart 3
Finnish Album Chart 5
Norwegian Album Chart 20
Danish Album Chart 11
Italian Album Chart 4
Spanish Album Chart 2
Portuguese Album Chart 8
Japanese Album Chart 1
Hungarian Album Chart[2] 8

Marejeo[hariri | hariri chanzo]