Nenda kwa yaliyomo

Neko Case

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Neko Richelle Case (alizaliwa 8 Septemba 1970.[1]) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Marekani na ni mshiriki wa kundi la muziki la rock la Kanada, the New Pornographers.

  1. Doole, Kerry (Machi 2009). "Features > Timeline > March 2009: Neko Case". Exclaim! Magazine. Iliwekwa mnamo Novemba 7, 2013.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Neko Case kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.