Nenda kwa yaliyomo

Nechemia Berman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nechemia Berman alikuwa Mkuu wa Marabi wa Uruguay.

Alizaliwa katika jiji la Buenos Aires, Argentina, na alihudumu kama Rabi wa Jumuiya ya Kiyahudi ya Ashkenazi ya Montevideo (Comunidad Israelita del Uruguay) kuanzia mwaka 1977 hadi 1993. Nafasi hii imekuwa ikitambulika kama ya Mkuu wa Marabi wa jumuiya nzima ya Kiyahudi ya Uruguay.

Rabbi Berman alizikwa mjini Yerusalemu mwaka 1993.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nechemia Berman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.