Neal Buckon
Mandhari
Neal James Buckon (alizaliwa 3 Septemba 1953) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.
Tangu mwaka 2011, amehudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Huduma za Kijeshi, Marekani.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Neal J. Buckon - Archdiocese for the Military, USA". www.milarch.org (kwa American English). 2016-04-21. Iliwekwa mnamo 2024-04-12.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |