NeXTSTEP

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

NeXTSTEP ulikuwa mfumo wa uendeshaji wa kompyuta uliotengenezwa na kampuni inayoitwa NEXT. NeXT iliendeshwa na Steve Jobs, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Apple Inc. hadi kifo chake mwaka 2011.

NEXTSTEP ulikuwa msingi wa UNIX na kutumika kanuni ya uanzilishi kutoka BSD. Ilikuwa na kielelezo cha michoro na kuruhusu watu kuandika mipango ya kompyuta kwa kutumia programu ya maelekezo.

NEXTSTEP ulifanya kazi tu kwenye kompyuta zilizotengenezwa na NEXT. Baadaye, NEXTSTEP ilibadilishwa ili iweze kufanya kazi kwenye kompyuta nyingine. Mfumo huu mpya wa uendeshaji uliitwa OPENSTEP.

Mwaka 1997, Apple alinunua kampuni ya NEXT na kutumia NEXTSTEP kufanya Mac OS X.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.