Nduli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nduli ni jina la kata ya Wilaya ya Iringa Vijijini katika Mkoa wa Iringa, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,045 waishio humo. [1]

Siku hizi barabara inayounganisha Iringa na Dodoma, hivyo pia Cape Town na Kairo, na ambayo ilikuwa imetiwa lami mpaka kijijini Nduli kwa ajili ya kiwanja cha ndege, sana inaendelea na lami kuelekea kaskazini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Iringa Vijijini - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Idodi | Ifunda | Ilolo Mpya | Itunundu | Izazi | Kalenga | Kihorogota | Kising'a | Kiwere | Luhota | Lumuli | Lyamgungwe | Maboga | Maguliwa | Mahuninga | Malenga Makali | Masaka | Mboliboli | Mgama | Migoli | Mlenge | Mlowa | Mseke | Nduli | Nyang'oro | Nzihi | Ulanda | Wasa

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nduli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.