Ndugu Leo
Mandhari


Ndugu Leo (alifariki Assisi, 15 Novemba 1271) alikuwa mmojawapo kati ya wafuasi wa Fransisko wa Asizi walioongozana naye zaidi [1][2] kama karani na muungamishi wake [3] .
Kaburi lake linakabiliana na lile la Fransisko chini ya altare ya Basilika lake.
Kumbukumbu zilizoandikwa za padri huyo zimechangia sana vitabu mbalimbali kama vile Ngano za Wenzi Watatu[4].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "McCloskey ofm, Pat. "Helping Brother Leo", Franciscan Media". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-14. Iliwekwa mnamo 2025-02-17.
- ↑ Robinson, Paschal. "Brother Leo." The Catholic Encyclopedia Vol. 9. New York: Robert Appleton Company, 1910. 28 December 2019
- ↑ Arnald of Sarrant, Chronicle of the Twenty-Four Generals of the Order of Friars Minor, trans. Noel Muscat, OFM (TAU Franciscan Communications, 2010).
- ↑ Goff, Jacques Le (2004). Saint Francis of Assisi. Psychology Press. ku. 22–24. ISBN 978-0-415-28473-8.