Ndoa ya mseto
Mandhari
Ndoa ya mseto (pia: ndoa ya mchanganyiko) ni ndoa inayofungwa na watu wa dini au madhehebu tofauti. Kwa sababu ya tofauti zilizopo kati yao upande wa imani na maadili, mara nyingine zinakatazwa na sheria za dini husika au zinahitaji idhini ya pekee kutoka kwa viongozi[1] , ingawa mojawapo kati ya haki za binadamu ni ile ya kuoana na yeyote yule [2].
Maarufu ni katazo la ndoa hizo lililotolewa na Musa kwa Waisraeli katika Biblia ya Kiebrania (hivyo limo katika Agano la Kale la Biblia ya Kikristo). Lengo lake lilikuwa taifa la Mungu lisipotoshwe na ushirikina na ibada ya miungu vilivyofuatwa na makabila ya jirani.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Burke, John (1999). Catholic Marriage. Paulines Publications Africa. uk. 98. ISBN 9789966081063.
We might remind ourselves here that a marriage between a Catholic and a baptized person that takes place in the Catholic Church, or in another Church with permission from the diocesan bishop, is a sacramental union. Such a marriage is a life-long union and no power on earth can dissolve it.
- ↑ "The Universal Declaration of Human Rights". Iliwekwa mnamo 17 Machi 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Brym, R., & Lenton, R. (2021). "Jewish Religious Intermarriage in Canada." Canadian Jewish Studies Études Juives Canadiennes, 30, 67–82. https://doi.org/10.25071/1916-0925.40184 (Original work published November 30, 2020)
- Interfaith Marriage: Share and Respect with Equality, Dr. Dilip Amin, Mount Meru publishing
- This is My Friend, This is My Beloved: A Pastoral Letter on Human Sexuality (Jewish) Elliot N. Dorff, The Rabbinical Assembly
- It All Begins with a Date: Jewish Concerns about Intermarriage, Alan Silverstein, Jason Aronson, 1995, ISBN 1-56821-542-8
- Strange Wives: Intermarriage in the biblical world, Stanley Ned Rosenbaum and Allen Secher, 2014, ISBN 0986322601
- Intimate Diversity: an Anglican Practical Theology of Interreligious Marriage, Paul Aidan Smith, [Brill], 2021, ISBN 978-90-04-46032-4
- Being Both: Embracing Two Religions in One Interfaith Family, Susan Katz Miller, 2013, ISBN 9780807013199
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
- Catholic Encyclopedia: Mixed Marriage
- Jewish Encyclopedia: Intermarriage
- Resources for Interfaith Families from Interfaithfamily.com
| Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |