Ndeiru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ndeiru (Drone)

Ndeiru ni kifupisho cha ndege isiyokuwa na rubani. Ndeiru ni ndege ndogo ambayo huruka bila rubani na huendeshwa kwa Kitenzambali (remote control) sambamba na ramani ya GPS.