Nenda kwa yaliyomo

Ndaba kaMageba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mfalme Ndaba ka-Mageba alikuwa Mfalme wa Ufalme wa Wazulu. Alikuwa mfalme wa Wazulu kwa miaka tisa kuanzia 1745 akimrithi Mageba kaGumede.

Alikuwa mwana wa Mfalme Mageba. Alirithiwa na Jama kaNdaba mnamo 1763.[1]

  1. Havemann, Louis-John. "History of the Zulu Nation". KwaZulu Natal North Coast Happenings.