Nenda kwa yaliyomo

Nazli Sabri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nazli Sabri (25 Juni 189429 Mei 1978) alikuwa malkia wa kwanza mwenza (queen consort) katika ufalme wa Misri kuanzia mwaka 1919 hadi 1936. Alikuwa mke wa pili wa Mfalme Fuad I.

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Nazli alizaliwa tarehe 25 Juni 1894 kwa baba Mmisri na mama mwenye asili ya Waturuki, Wafaransa na Wagiriki.[1][2] Baba yake alikuwa Abdel Rahim Sabri Pasha,[3] Waziri wa Kilimo na Gavana wa Cairo, na mama yake alikuwa Tawfika Sharif Hanim. Nazli alikuwa na kaka wawili: Sherif Sabri Pasha na Hussein Sabri Pasha, na dada wawili: Amina Sabri na Nawal Sabri.

  1. Rosten, David B (2015), "Queen Nazli Sabri", The Last Cheetah of Egypt: A Narrative History of Egyptian Royalty from 1805 to 1953, iUniverse, ISBN 978-1-4917-7939-2
  2. Samir Raafat (Machi 2005). "Women whose husbands ruled the realm" (PDF). Egyptian Europe Organization. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 7 Septemba 2013. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2013.
  3. Hassan Hassan (2000). In the House of Muhammad Ali: A Family Album, 1805-1952. American Univ in Cairo Press. uk. 46. ISBN 978-977-424-554-1.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nazli Sabri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.