Navykenzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Navykenzo ni kikundi cha muziki wa Bongo Flava nchini Tanzania. Kikundi hiki kimeundwa na watu wawili, yaani wasanii wawili, ambao ni Aika na Nahrili.

Unaweza kuita Navykenzo ni lebo au ni studio inayoweza kutoa nyimbo za wasanii wengine.

Nahril na Aika Ni wapenzi kwa muda mrefu saanaa, na wako pamoja mpaka hivi Sasa [2021].