Nenda kwa yaliyomo

Natasha Morrison

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Natasha Morrison
Morrison 2015
Morrison 2015
Alizaliwa 1992
Nchi Jamaica
Kazi yake Mwanariadha

Natasha Morrison (alizaliwa 17 Novemba 1992) ni mkimbiaji kutoka Jamaika. Aliwakilisha nchi yake katika Mashindano ya Dunia ya 2015 yaliyofanyika Beijing, ambapo alimalizia nafasi ya saba katika mbio za mita 100 za kibinafsi na kushinda dhahabu katika mbio za 4 × 100 metres relay..[1]

  1. "Natasha Morrison". IAAF. 23 Agosti 2015. Iliwekwa mnamo 23 Agosti 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Natasha Morrison kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.