Nenda kwa yaliyomo

Natalya Bilikhodze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Natalya Petrovna Bilikhodze (19002000) alikuwa mlaghai aliyejifanya mwanachama wa familia ya Romanov, mmoja wa wanawake kadhaa waliodai kwa uongo kuwa wao ni Grand Duchess Anastasia Nikolaevna wa Urusi, ambaye aliuawa pamoja na familia yake na Wabolshevik huko Yekaterinburg, Urusi mnamo 17 Julai 1918. [1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Natalya Bilikhodze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Cook, Andrew (2012). The Murder of the Romanovs. Amberley Publishing. ISBN 978-1-4456-0796-2.