Nasser Kamel
Mandhari
| His Excellency Nasser Kamel Ambassador | |
| utaifa | Egyptian |
|---|---|
| makazi | Barcelona, Spain |
| taaluma | Ambassador |
Nasser Kamel (alizaliwa Julai 1959) ni mtendaji wa serikali wa nchini Misri. Hivi sasa anahudumu kama Katibu Mkuu wa Muungano wa Mediterania (Union for the Mediterranean).[1]
Alikuwa Balozi wa Misri nchini Ufaransa na Monaco, pamoja na Balozi wa Misri nchini Uingereza. Kamel pia alihudumu kama Waziri Msaidizi wa Mambo ya Nje wa Misri kwa masuala ya Afrika Kaskazini na Mashariki ya Kati, na kwa muda mfupi alishikilia wadhifa wa Mwenyekiti wa Huduma ya Habari ya Taifa.
Kamel anashikilia cheo cha Grand Officier de l'ordre national du Mérite, kitengo cha heshima cha taifa (chenye wanachama takriban 187,000) kinachotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa.[2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Egypt Minister of Foreign Affairs: "The Union for the Mediterranean approves the appointment of Ambassador Nasser Kamel as Secretary-General of the Union"". Mfa.gov.eg. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 23 Mei 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Egypt's new ambassador Nasser Kamel arrives in London". en.arabstoday.net. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Aprili 2015. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Egypt: IS Threat 'Coming Closer To Europe'". Sky News. 16 Februari 2015. Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)