Nass Marrakech

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nass Marrakesh (Kiarabu: ناس مراكش) Ni kikundi cha muziki wa Gnawa kilichoanzishwa mwaka 1991. walijiusisha na muelekeo tofauti ambao haukujulikana hapo awali kwa wanamuziki wa Gnawa kwa kuanzishwa kwa ala za kigeni kwenye muziki wa Gnawa kama vile djembe, tam-tam, mandolin, tabla na midundo ya Afro-Cuba.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Billboard (magazine)", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-04-28, iliwekwa mnamo 2022-04-30