Nasrallah Boutros Sfeir
Mandhari
Nasrallah Boutros Sfeir (15 Mei 1920 – 12 Mei 2019) alikuwa Patriarki wa 76 wa Kanisa la Wamaroni la Antioch na Levant Nzima kuanzia 1986 hadi 2011. Aliteuliwa kuwa kardinali na Papa Yohane Paulo II mwaka 1994.[1]

Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "NSfeir has handed resignation to Vatican". The Daily Star. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Januari 2011. Iliwekwa mnamo 26 Februari 2011.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |