Nenda kwa yaliyomo

Nasaba ya Barakzai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nasaba ya Barakzai pia inajulikana kama Nasaba ya Muhammadzai ("koo ndogo inayotawala ya Barakzai"),[1][2][3][4] ilitawala eneo ambalo sasa hivi ni Afghanistan kuanzia mwaka 1823 hadi 1978, wakati mfumo wa ufalme ulipokomeshwa kisheria (de jure) chini ya Musahiban Mohammad Zahir Shah na kiuhalisia (de facto) chini ya binamu yake Mohammad Daoud Khan. Nasaba ya Barakzai ilianzishwa na Dost Mohammad Khan baada ya Dola ya Durrani ya Ahmad Shah Durrani kuondolewa madarakani.[5][6]

  1. Martin, Mike (2014). An Intimate War: An Oral History of the Helmand Conflict, 1978–2012. Oxford University Press. uk. 321. ISBN 978-0199387984. Iliwekwa mnamo 26 Julai 2016. In Pushtun folklore, Barak, Alak and Popol were brothers who went their separate ways to found tribes in their own namesake with the addition of the—zai (son of) suffix, for example, Barakzai.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Ende in Islam in the World Today: A Handbook of Politics, Religion, Culture, and Society, p. 259
  3. Herbe in All in the family, Absolutism, Revolution, and Democracy in Middle Eastern Monarchies, p. 199
  4. Ahmed in Afghanistan Rising Islamic Law and Statecraft Between the Ottoman and British Empires, p. 23
  5. "Dost Mohammad Khan -- Britannica Online Encyclopedia". www.britannica.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-26. Iliwekwa mnamo 2026-02-05.
  6. Haq, Marina S. (14 Januari 2022). "Meine Grossmutter, die afghanische Prinzessin". Neue Zürcher Zeitung.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nasaba ya Barakzai kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.