Nenda kwa yaliyomo

Nanji Kalidas Mehta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nanji Kalidas Mehta, Raj Ratna, MBE (alizaliwa 17 Novemba 188725 Agosti 1969) alikuwa mwekezaji mkubwa wa viwanda na mfadhili kutoka Gujarat, India. Alianzisha Mehta Group katika Afrika ya Mashariki ya kikoloni (British East Africa), huku makao makuu yake yakiwa India. Alifahamika pia kwa jina la Sheth Nanjibhai.

Kwa sasa, Mehta Group inamilikiwa na familia yake, ambapo mwanawe Mahendra Mehta, mkwe wake Sunayana Mehta, na mjukuu wake Jay Mehta wanaendelea kuiendesha.[1]

  1. Desai, Gaurav (2011). "Commerce as Romance: Nanji Kalidas Mehta's Dream Half-Expressed Research in African Literatures Vol. 42, No. 3, Asian African Literatures / Gaurav Desai, Special Guest Editor (Fall 2011), pp. 147-165". Research in African Literatures. 42 (3): 147–165. doi:10.2979/reseafrilite.42.3.147. JSTOR 10.2979/reseafrilite.42.3.147. S2CID 195495997.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nanji Kalidas Mehta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.