Nando
Mandhari
Nando ni mkoa magharibi mwa Burkina Faso. Mkoa huo una eneo la km² 21,752 na idadi ya wakazi mwaka 2024 ilikuwa 1,866,300[1].
Makao makuu yako mjini Koudougou.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nando kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |