Nandi (mama wa Shaka)
Mandhari
Nandi KaBhebhe (c. 1760 – 10 Oktoba 1827) alikuwa binti wa Bhebhe, aliekuwa chifu wa zamani Elangeni na mama yake Shaka kaSenzangakhona, Mfalme wa Wazulu. [1]
Malkia Nandi Bhebhe alizaliwa huko Melmoth mnamo mwaka 1760. Baba yake alikuwa chifu wa watu wa Elangeni (Mhlongo).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Shamase, M. Z. (25 Julai 2014). "The royal women of the Zulu monarchy through the keyhole of oral history: Queens Nandi (C. 1764 – c.1827) and Monase (C. 1797 – 1880)". Inkanyiso: Journal of Humanities and Social Sciences. 6 (1): 1–14.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)