Nenda kwa yaliyomo

Nancy Abu-Bonsrah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nancy Abu-Bonsrah ni daktari wa upasuaji wa mfumo wa neva na ubongo kutoka Ghana, ambaye alikuwa mwanamke mweusi wa kwanza kuhitimu katika programu ya upasuaji wa neva ya Shule ya Tiba ya Johns Hopkins. Shule hiyo inatambulika kama sehemu ambapo taaluma ya tiba ya upasuaji wa mfumo wa neva iliasisiwa. [1]

  1. "Dr. Nancy Abu-Bonsrah Makes History As The First Black Woman To Graduate From Johns Hopkins University's Neurosurgery Program". Yahoo News.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nancy Abu-Bonsrah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.