Nenda kwa yaliyomo

Nana Obiri Yeboah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nana Obiri Yeboah (alizaliwa 28 Machi 1983)[1] ni mwongozaji wa filamu kutoka Ghana. Alijulikana kwa filamu ya mwaka 2015 The Cursed Ones, ambayo ilipata uteuzi 13 katika Tuzo za Africa Movie Academy, ikijumuisha Filamu Bora na Muongozaji Bora. [2]

  1. "Nana Obiri Yeboah – Accra Birth Index". FamilySearch. Iliwekwa mnamo Desemba 31, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Africa Movie Academy Awards 2016: Nominations (Press release). Archived from the original on 21 November 2016. https://web.archive.org/web/20161121110252/https://www.ama-awards.com/v2/press-release-breaking-news-amaa-announces-2016-nomination/.