Nana Araba Apt
Mandhari
Nana Araba Apt (1942 – 2017)[1] alikuwa mwandishi, mwalimu, na mwanaharakati wa ustawi wa jamii kutoka Ghana.[2][3][4]
Mnamo mwaka 2005,Apt alikuwa mmoja wa waanzilishi wa shirika la kutoa msaada la College for Ama kwa ajili ya kuwasaidia wasichana wa vijijini nchini Ghana kwenda shule pia Apt alikuwa Mkuu wa kwanza wa Idara ya Masuala ya Taaluma katika Chuo Kikuu cha Ashesi na profesa katika Chuo Kikuu cha Ghana kabla ya kifo chake mwaka 2017.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "TRIBUTE TO PROFESSOR NANA ARABA APT (1942 - 2017) | Centre for Social Policy Studies". csps.ug.edu.gh. Iliwekwa mnamo 2019-01-07.
- ↑ Haffar, Anis (2017-03-27). "The heart and soul of a vibrant educator - In memory of Prof. Nana Araba Apt". Graphic Online. Iliwekwa mnamo 2018-11-11.
- ↑ "CofA Foundation - Why a College for Ama?". cofa-foundation.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-20. Iliwekwa mnamo 2018-11-11.
- ↑ "Nana Araba Apt launches new book". GhanaWeb. 2008-02-17. Iliwekwa mnamo 2018-11-11.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nana Araba Apt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |