Nenda kwa yaliyomo

Nana Adwoa Awindor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nana Adwoa Awindor ni mtangazaji wa televisheni kutoka Ghana na Malkia Mama wa Maendeleo (Queenmother) wa wilaya ya Afigya-Kwabre katika Ashanti Region ya Ghana.[1] Yeye pia ni mwanachama wa Muungano wa Kitaifa wa Malkia Mama wa Ghana (Viongozi wa Kimila Wanawake).[2][3]

  1. ↑ Mwaka 2013, alichaguliwa kuwa Rais wa kwanza wa Bodi ya Utendaji ya Bara ya African Queens and Women Cultural Leaders Network.
  2. ↑ [(https://www.glitzafrica.com/glitz-top-100-inspirational-women/100/) "Glitz top 100 inspirational women – Page 100 – Glitz Africa Magazine"] (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-05-28. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
  3. ↑ Mistiaen, Veronique (3 Desemba 2015). ["Meet) the Queen Mothers: 10,000 amazing women taking back power in Africa". The Telegraph. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2016. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nana Adwoa Awindor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.