Najat Badri
Mandhari
Najat Badri (kwa Kiarabu: نجاة بدري; alizaliwa tarehe 19 Mei 1988) ni mchezaji wa kulipwa wa soka kutoka Morocco anayekipiga kama kiungo wa klabu ya AS FAR na pia kama beki wa timu ya taifa ya wanawake ya Morocco. Badri alianza kucheza soka katika klabu ya Raja Aïn Harrouda kabla ya kujiunga na AS FAR.[1]
Akiwa mchezaji wa AS FAR, Badri ameshinda Ligi ya Wanawake ya Morocco mara 8, pamoja na Kombe la Throne la Wanawake la Morocco mara 6.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Competitions - 11th Edition Women AFCON- GHANA 2018 - Team Details - Player Details". CAF. Iliwekwa mnamo 21 Agosti 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "ASFAR equalizes just before halftime". Bein Sports. 15 Novemba 2021. Iliwekwa mnamo 7 Agosti 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Najat Badri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |