Nahukahuka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nahukahuka ni kata ya Wilaya ya Mtama katika Mkoa wa Lindi, Tanzania. Msimbo wa posta ni 65213.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 6,886 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,026 walioishi humo[2].

Shughuli za kiuchumi katika kata hiyo hutegemea sana kilimo kama vile cha korosho, ufuta, mahindi, mpunga pamoja na nazi, lakini kata hiyo ina fursa nyingine za kiuchumi kupitia biashara mbalimbali zinazokwenda vizuri na kuvutia watu wengi kuishi huko.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.nbs.go.tz/
  2. Sensa ya 2012, Lindi - Lindi DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-06-22.
Kata za Wilaya ya Mtama - Tanzania

Chiponda | Kiwalala | Longa | Majengo | Mandwanga | Mnara | Mnolela | Mtama | Mtua | Mtumbya | Nachunyu | Nahukahuka | Namangale | Namupa | Navanga | Nyangamara | Nyangao | Nyengedi | Pangatena | Sudi


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nahukahuka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.