Nafiz Bezhani
Mandhari
Nafiz Bezhani (1928–2004) alikuwa mwanasheria, mwanasiasa, na mwandishi Albania.
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa mwaka 1928 huko Fterrë, kusini mwa Albania, na alisoma katika Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Tirana. Mnamo mwaka 1943 alijiunga na Harakati za Ukombozi wa Kitaifa (Albania)|Harakati za Ukombozi wa Kitaifa na akachaguliwa kuwa mjumbe wa Baraza la Kwanza la Vijana Wanaopinga Ufashisti mnamo Agosti 1944. Baada ya mkutano mkuu wa Chama cha Wafanyakazi cha Albania wa mwaka 1956, alifukuzwa uanachama katika chama hicho.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Meçaj, Nasip; Çelaj, Xhemil; Toçi, Fatmir (2009). Enciklopedi e Kurveleshit. TOENA. uk. 31. ISBN 99943-1-496-3.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nafiz Bezhani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |