Nadine Mills
Mandhari
Nadine Mills ni mwigizaji wa nchini Uingereza, anayejulikana zaidi katika uhusika wake kama muuguzi Sabrina Clarke katika tamthilia ya Supacell ya Rapman (2024) inaonyeshwa katika mtandao wa Netflix.
Maisha ya awali na Elimu
[hariri | hariri chanzo]Nadine Mills amesoma mchezo wa kuigiza chuo kala ya kuhitimu degree ya media kutoka chuo cha Westminster .[1][2]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Mnamo mwaka 2024 Mills aliigiza kama muuguzi Sabrina Clarke, mhusika mkuu katika mfululizo wa filamu wa Netflix wa Rapman uitwao Supacell.[3] Hapo awali alicheza uhusika mdogo katika filamu ya The Weekend (2016), The Strangers (2019), na The Pay Day (2022), na alionekana kama mgeni mwalikwa katika Sliced.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 Nirajan (4 Julai 2024). "From a young age, Nadine Mills, the Supacell star, was into acting!". Sanctuary Film Festival. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Julai 2024. Iliwekwa mnamo 24 Julai 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Nadine Mills — vérité". veriteprint.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Julai 2024. Iliwekwa mnamo 24 Julai 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Latif, Leila (27 Juni 2024). "Supacell review – these superpowered Black Londoners are an absolute riot". The Guardian. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Julai 2024. Iliwekwa mnamo 24 Julai 2024.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nadine Mills kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |