Nadia Boulanger
Mandhari
Juliette Nadia Boulanger (16 Septemba 1887 – 22 Oktoba 1979) alikuwa mwalimu wa muziki, kondakta na mtunzi wa muziki wa Ufaransa. Alifundisha watunzi na wanamuziki wengi mashuhuri wa karne ya 20, na pia alitumbuiza mara chache kama mpiga piano na mpiga ogani.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [(https://books.google.com/books?id=XW6OKu19T88C&dq=Nadia+Boulanger+composer+conductor+pianist&pg=PA45) Lennox Berkeley, Sir, Peter Dickinson, Lennox Berkeley and Friends: Writings, Letters and Interviews, page 45]
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nadia Boulanger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |