Nenda kwa yaliyomo

Nadège Beausson-Diagne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nadège Beausson-Diagne (amezaliwa 18 Juni 1972 huko Paris) ni mwigizaji, mwimbaji na mchambuzi wa habari kutoka Ufaransa. Anajulikana zaidi kwa kuigiza kama mkuu wa polisi Sara Douala katika mfululizo wa tamthilia za Plus belle la vie. Pia ameonekana katika filamu zilizofanikiwa kama Podium iliyoongozwa na Yann Moix na Nothing to Declare [Rien à déclarer] iliyoongozwa na Dany Boon.

Nadège Beausson-Diagne

Amezaliwa 18.06.1972
Paris, Ufaransa
Kazi yake Muigizaji, Mwanamuziki
Miaka ya kazi 1993-mpaka sasa

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Beausson-Diagne alizaliwa Ufaransa na baba mwenye asili ya kisenegali na mama mwenye asili ya Kisiwa cha Ivori costi (Côte d’Ivoire) na Breton. [1][2]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadège Beausson-Diagne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. https://www.europe1.fr/culture/lactrice-nadege-beausson-diagne-prepare-un-documentaire-sur-sa-quete-de-son-pere-4033686
  2. https://www.dhnet.be/lifestyle/magazine/2018/05/17/cannes-16-femmes-noires-montent-les-marches-ensemble-pour-denoncer-le-racisme-latent-du-cinema-francais-ZWYLKA3QCRH77IDQZUXN2VODOY/