Néné Nkulu Ilunga
Mandhari
Néné Nkulu Ilunga ni mwanasiasa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Tangu Septemba 2019 amekuwa Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ajira, Kazi na Ustawi wa Jamii katika serikali ya Sylvestre Ilunga Ilunkamba.[1]
Pia ni Naibu Katibu Mkuu wa chama cha Alliance of Democratic Forces of the Congo (AFDC), kinachoongozwa na Modeste Bahati Lukwebo.
Yeye ni mwanachama wa chama cha Union for Democracy and Social Progress (UDPS).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "DR Congo gets new cabinet after seven months - MyJoyOnline". www.myjoyonline.com (kwa American English). 2019-08-26. Iliwekwa mnamo 2026-05-22.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Néné Nkulu Ilunga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |