Myrthe Moorrees

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Myrthe Moorrees

Myrthe Morrees (alizaliwa 12 Desemba 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Uholanzi ambaye anacheza kwenye klabu ya wanawake ya FC Köln katika ligi Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani. Awali alicheza katika klabu ya wanawake ya VVV-Venlo, FC Utrecht na PSV Eindhoven.[1][2]

Mnamo 19 Oktoba 2017 alicheza kwa mara ya kwanza katika timu yake ya taifa ya wanawake katika mechi dhidi ya Austria. [3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Myrthe Moorrees naar FC Twente Vrouwen (Dutch). FC Twente (22 May 2017). Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-12-24. Iliwekwa mnamo 23 December 2017.
  2. Lamberts, Marc (2022-02-27). Eredivisie: Fortuna Sittard and Telstar added to Dutch 2022/23 roster (en-GB).
  3. Profile. soccerway.com (23 December 2017).
  4. Profile (Dutch). onsoranje.nl. Iliwekwa mnamo 23 December 2017.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Myrthe Moorrees kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.