Nenda kwa yaliyomo

Mykola Bychok

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mykola Bychok CSsR (alizaliwa 13 Februari 1980) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina ambaye amehudumu kama askofu wa Watakatifu Petro na Paulo wa Melbourne tangu mwaka 2020.[1]

Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali tarehe 7 Desemba 2024, na kumfanya kuwa mshiriki mdogo zaidi katika Baraza la Makardinali. Yeye ni mwanachama wa shirika la Waredentori.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.